Ziara hiyo ni kuashiria kile White House, inakiita “urithi” katika kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa, akiisimamia katika masuala ya kiuchumi kati ya nchi katika kutumia mapinduzi ya nishati safi.
Biden aliwasili Manaus, mji mkuu wa jimbo la Amazonas, mlango wa msitu mkubwa zaidi duniani.
Rais Biden alitangaza kuwa chini ya utawala wake, Marekani imevuka lengo la kutoa dola bilioni 11 kwa mwaka katika ufadhili wa kimataifa wa hali ya hewa 2024, sehemu muhimu katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa inayo shawishiwa na nchi za Kusini mwa Ulimwengu.
Rais Biden amesema vita vya kulinda sayari yetu ni vita vya ubinadamu kwa vizazi vijavyo, na inaweza kuwa tishio pekee lililopo kwa mataifa yetu yote na kwa wanadamu wote.
Forum