Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 04:48

Rais Biden apiga marufuku uagizaji wa mafuta na nishati kutoka Russia


Rais Biden apiga marufuku uagizaji wa mafuta na nishati kutoka Russia
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:18 0:00

Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza wiki hii upigaji marufuku wa uagizaji mafuta na nishati nyingine kutoka Russia ikiwa ni hatua ya ulipizaji kisasi kufuatia uvamizi huko Ukraine akisisitiza inaungwa mkono na pande zote za kisiasa hapa Marekani.

XS
SM
MD
LG