Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 06:48

Rais Biden aeleza sababu zilizosukuma juu bei za nishati


Rais Biden aeleza sababu zilizosukuma juu bei za nishati
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Rais wa Marekani Joe Biden anasema suala la mfumuko wa bei la kisiasa na uvamizi wa Russia nchini Ukraine umesukuma juu bei za nishati.

Vikosi vya Ukraine vimeripoti mafanikio kwenye uwanja wa vita Jumatano katika shambulio ambalo linaweza kuashiria mabadiliko kwenye kasi ya vita kati yake na Russia.

Nchini Tanzania rufaa ya wabunge 19 waliokuwa wanachama wa Chadema inasikilizwa Jumatano

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG