Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 16:14

Polisi DRC wanashutumiwa kuwauwa wachimbaji madini


Baadhi ya wachimbaji madini katika moja ya migodi huko DRC.
Baadhi ya wachimbaji madini katika moja ya migodi huko DRC.

Polisi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC kwenye eneo la Rubaya Masisi katika jimbo la Kivu kaskazini wanashutumiwa kuwafyatulia risasi na kuwauwa wachimbaji madini watatu katika mgodi wa Rubaya.

Wakati huo huo mwandishi wa Sauti ya Amerika anaripoti kwamba watu 100 wengine wamenusurika kifo baada ya kufunikwa na maporomoko ya matope yaliyotokea kwenye eneo la mgodi huo.

Fuatilia taarifa ya Austere Malivika akiwa Goma huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.

please wait

No media source currently available

0:00 0:02:14 0:00

XS
SM
MD
LG