Pakistan Tehreek-e-Insaf, au PTI, imesema “onyesho lake lenye nguvu” lilifanyika ili kukabiliana na ufuatiliaji wa serikali kwa wafanyakazi wa chama na mikusanyiko ya umma inayohusiana na uchaguzi.
“Katika kile ambacho kilitarajiwa, utawala usio halali, wa kifashisti umepunguza kasi ya intaneti na kuvuruga mitandao ya kijamii kote Pakistani, kabla ya maandamano ya kisiasa ya kihistoria, chama hicho kilisema katika taarifa yake.
“Huu ni uthibitisho wa hofu ya umaarufu mkubwa wa chama cha PTI cha Imran Khan,” NetBlocks, mfuatiliaji huru wa kimataifa wa mtandao unaotetea haki za kidijitali, usalama wa mtandao na utawala, ulithibitisha kuhusiana na tatizo la intaneti na mitandao nchini Pakistan.
Forum