Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 06:07

Mwenge wa Olimpiki wawasili Paris


Paris Olympics Torch Relay
Paris Olympics Torch Relay

Jin, mwana kikundi mwenye umri mkubwa zaidi wa kikundi cha the oldest member of K-pop supergroup BTS, akiupokea mwenge wa Olimpiki, Jumapili, Julai 14, 2024 mjini Paris.

Jin ataubeba mwenge huo katika eneo Makumbusho la Louvre Museum, Paris, baada ya kukamilisha jukumu la kutumikia jeshi.

Ufunguzi wa michuano ya Olimpiki 2024 unazidi kukaribia ambapo michuano hyo inatarakiwa kuanza Julai 24 huko Paris ufaransa

Tayari mamilioni ya watu wameupokea mwenge wa Olimpiki katika safari yake ya kuzunguka Ufaransa kwa shauku kubwa.

Tayari michuano hiyo imeshaandaliwa kwa Michezo ya Olimpiki ambayo itakuwa ya vijana zaidi, jumuishi zaidi na endelevu zaidi. Itakuwa Michezo ya kwanza ya Olimpiki ambayo inawiana kikamilifu na mageuzi ya Ajenda ya Olimpiki ya IOC kuanzia mwanzo hadi mwisho. VOA Swahili, (AP Photo/Louise Delmotte)

Forum

XS
SM
MD
LG