Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 17:03

Mukwege aelezea kuhusu Mpango wake endapo atachaguliwa


Mukwege aelezea kuhusu Mpango wake endapo atachaguliwa
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:46 0:00

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inatazamiwa kufanya uchaguzi wa rais Desemba 20, Sikiliza mpango wa mmoja wa wagombea Mukwege endapo atachaguliwa.

Katika mkutano na wanahabari mjini Bukavu, Daktari Denis Mukwege amesema programu yake hiyo ina nguzo kumi na mbili, ikiwa ni pamoja na usalama wa kitaasisi na utawala; usalama wa elimu na mafunzo, usalama wa afya na lishe, uchumi, fedha na biashara, usalama wa mahakama na kisheria, usalama wa nishati, usalama wa trafiki nchini, usalama wa mazingira ya kuishi, nyumba na mipango ya matumizi ya ardhi; usalama wa kijamii, kuishi pamoja vizuri, usalama wa vijana wa Congo, usalama wa kitamaduni na michezo, usalama wa waandishi wa habari na uandishi wa habari na usalama wa kidiplomasia, mazingira na watalii. Mukwege anaeleza:

Forum

XS
SM
MD
LG