Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 22, 2025 Local time: 22:53

Msako mkubwa wa mtuhumiwa aliyeuwa watu 18 na kujeruhi wengine 13 waendelea Maine


Msako mkubwa wa mtuhumiwa aliyeuwa watu 18 na kujeruhi wengine 13 waendelea Maine
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Polisi wameendelea na msako mkubwa wa mtuhumiwa aliyeuwa watu 18 na kujeruhi watu wengine 13 katika jimbo la Maine wiki hii.

Mfalme wa Uingereza Charles and Malkia Camilla wanatarajiwa kuzuru Kenya kuanzia Jumanne ijayo.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG