Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 20:28

Tanzania yajadili mfumo mpya wa habari


Waziri wa Habari Harrison Mwakyembe
Waziri wa Habari Harrison Mwakyembe

Tanzania na China Jumanne zimefanya mkutano wa majadiliano juu ya mfumo mpya wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam.

Mkutano huo unawakutanisha wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari vikiwepo Magazeti, Televisheni, Redio na wawakilishi wa mitandao ya kijamii hasa Blogs.

Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema mkutano huo umeandaliwa na wizara hiyo kwa kushirikiana na serikali ya China

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Edwin Ngonyani ndiye mgeni rasmi katika mkutano huo.

XS
SM
MD
LG