Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Desemba 22, 2024 Local time: 04:37

Marekani: Wasifu wa Jaji Ketanji na lililopelekea uteuzi wake


Marekani: Wasifu wa Jaji Ketanji na lililopelekea uteuzi wake
please wait

No media source currently available

0:00 0:08:30 0:00

Baraza la seneti la Marekani limemuidhinisha Jaji Ketanji Brown Jackson kuwa jaji wa mahakama ya juu ya Marekani kwa kura 53 dhidi ya 47.

Baraza la Seneti lilipiga kura Alhamis na kumfanya Jackson mwenye umri wa miaka 51 kuwa mwanamke wa kwanza mweusi kuhudumu katika mahakama ya juu Marekani. Ungana na mwandishi wetu Khadija Riyami akielezea wasifu wa Jaji Ketanji na lililopelekea kuteuliwa katika wadhifa huo wa juu nchini Marekani.
XS
SM
MD
LG