Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Novemba 23, 2024 Local time: 17:45

Mamlaka Nigeria yasema mafuriko yamesababisha vifo vya karibu watu 200 kote nchini

Magari yakipita kwenye barabara zilizofurika baada ya mvua kubwa kunyesha Lagos, Nigeria, Jumatano, Julai 10, 2024. (Picha za AP/Sunday Alamba).
Magari yakipita kwenye barabara zilizofurika baada ya mvua kubwa kunyesha Lagos, Nigeria, Jumatano, Julai 10, 2024. (Picha za AP/Sunday Alamba).

Mamlaka nchini Nigeria inasema kuwa mafuriko ya wiki kadhaa yamesababisha vifo vya karibu watu 200 kote nchini humo.

Mamlaka nchini Nigeria inasema kuwa mafuriko ya wiki kadhaa yamesababisha vifo vya karibu watu 200 kote nchini humo.

Shirika la kudhibiti majanga la Nigeria lilisema katika taarifa yake siku ya Ijumaa kwamba mafuriko hayo pia yameharibu hekta 107,000 za mashamba, na kutishia zaidi usambazaji wa chakula hasa katika eneo lililoathiriwa sana la kaskazini.

Nigeria inarekodi mafuriko kila mwaka kwa sababu ya kushindwa kufuata miongozo ya mazingira na miundombinu duni. Mamlaka zilionya kwamba mafuriko ya sasa yanaweza kuwa mabaya zaidi katika wiki zijazo na kuelekeza watu kuhama haraka katika maeneo kadhaa.

Forum

XS
SM
MD
LG