Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Januari 21, 2025 Local time: 12:49

Makubaliano kati ya Ethiopia na Somalia yapongezwa

Rais wa Uturuki Tayyip Erdogan (katikati) akiwa na Rais wa Somali Hassan Sheikh Mohamud (kulia) na Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed kufuatia mkutano wa waandishi wa habari huko Ankara, Uturuki, Desemba 11, 2024. Murat Kula/Presidential Press Office/Handout via REUTERS

Majirani hao wamekuwa na mzozo tangu Ethiopia isiyokuwa na bandari ilipofikia makubaliano mwezi januari na mkoa uliojitenga na Somalia wa Somaliland, kukodisha ukanda wa pwani kwa ajili ya bandari na kambi ya jeshi.

Kwa upande wake somaliland iliyojitangazia uhuru wake kutoka somalia mwaka 1991 katika hatua ambayo haitambuliwi na Mogadishu, ilisema Ethiopia itaitambua rasmi ingawa hili halijathibitishwa na Addis Ababa.

Somalia imesema makubaliano hayo ni ukiukwaji wa uhuru wake, na hivyo kuzusha tahadhari ya kimataifa kuhusu hatari ya kuzuka upya migogoro katika eneo hilo lenye hali tete.

Forum

XS
SM
MD
LG