Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 02, 2025 Local time: 19:02

Mahakama ya Katiba Thailand yamsimamisha kazi Waziri Mkuu

Waziri Mkuu wa Thailand Prayuth Chan-ocha aliyesimamishwa kazi akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari mjini Bangkok. REUTERS/Athit Perawongmetha.
Waziri Mkuu wa Thailand Prayuth Chan-ocha aliyesimamishwa kazi akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari mjini Bangkok. REUTERS/Athit Perawongmetha.

Mahakama ya Katiba ya Thailand imemsimamisha kazi Waziri Mkuu Prayut Chan-O-Cha  huku ikiangalia  iwapo amefikia mwisho wa muhula wake wa miaka minane.

Mahakama ya Katiba ya Thailand imemsimamisha kazi Waziri Mkuu Prayut Chan-O-Cha huku ikiangalia iwapo amefikia mwisho wa muhula wake wa miaka minane.

Uamuzi huo Jumatano ulikuja baada ya vyama vya upinzani kuwasilisha ombi vikipinga Prayut, ambaye alichukua mamlaka katika mapinduzi ya 2014, alikuwa amemaliza muda wake madarakani.

Waziri mkuu wa muda atateuliwa hadi mahakama itakapotoa uamuzi wake katika kesi hiyo.

Miongoni mwa wagombea wakuu wa nafasi hiyo ni Naibu waziri Mkuu Prawit Wongsuwan

XS
SM
MD
LG