Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 03:10

Mahakama Kenya yatupilia mbali kesi ya kupinga uamuzi wa serikali wa kuruhusu uingizaji mazao ya GMO


Wafanyakazi wakishusha bidhaa lori lenye mahindi ya manjano ya GMO yaliyoagizwa kutoka Marekani huko Tepexpan Mexico. Reuters.
Wafanyakazi wakishusha bidhaa lori lenye mahindi ya manjano ya GMO yaliyoagizwa kutoka Marekani huko Tepexpan Mexico. Reuters.

Mahakama ya Kenya  yatupilia mbali kesi ya kupinga serikali kuruhusu mazao ya GMO.

Mahakama ya Kenya Alhamisi ilitupilia mbali kesi ya kupinga uamuzi wa serikali wa kuruhusu uingizaji na kulima mazao yaliyofanyiwa mabadiliko ya kijenetiki ili kusaidia kukabiliana na tatizo la chakula.

Oktoba mwaka jana serikali iliondoa marufuku ya muongo mmoja kwa mazao ya GMO ili kukabiliana na kupungua kwa usalama wa chakula kufuatia ukame mbaya sana kulikumba eneo la Pembe ya Afrika katika miaka 40.

Wakili Paul Mwangi aliwasilisha haraka kesi mahakamani akidai uamuzi huo ni kinyume cha katiba kwani kulikuwa na wasiwasi juu ya usalama wa mazao hayo.

But environment court judge Oscar Angote ruled on Thursday that there was no evidence to show any harm to nature or human health.

Forum

XS
SM
MD
LG