Print
Tume ya uchaguzi Kenya imemtangaza rasmi rais Uhuru Kenyatta kama mshindi wa uchaguzi wa mwaka 2017 kwa kura 8,203,290 au asilimia 54.27 ya kura zote.