Kenya: Baadhi ya sababu zilizopelekea watalii kupungua kuja kuona vivutio mashuhuri Old Town Mombasa
Old Town Mombasa, eneo la kihistoria la mambo kale ambalo ni kivutio kikubwa kwa watalii. Ungana na mwandishi wetu mjini Mombasa akikuchambulia aina mbalimbali za vivutio vilivyopo katika eneo hilo la Old Town Mombasa. Anakuletea sababu zilizopelekea watalii kupungua kuja kuona vivutio hivi...
Matukio
-
Desemba 17, 2024
Makundi ya haki yanafurahia mahakama maalum ya uhalifu wa Gambia
-
Novemba 23, 2024
Mwanamuziki Chris Stapleton atwaa tuzo 4 za muziki wa Country