Haya ni kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Iran.
Irani, amesema kwamba nchi za kanda hiyo zimetambua kwamba ushirikiano ndio njia pekee ya kuimarisha usalama baina yao.
Hajatoa maelezo zaidi kuhusu mpango huo wa ushirikiano ambao amesema utaundwa hivi karibuni.
Iran imekuwa ikijaribu kurudisha uhusiano wake na mataifa kadhaa ya ghuba, ambao haujakuwa mzuri katika miaka ya hivi karibuni.
Saudi Arabia na Iran, zilimaliza uhasama wake wa miaka saba, mwezi March, baada ya mazungumzo yaliyosimamiwa na China, kwa msingi wa kutaka utulivu wa kiukanda na ukuaji wa ushirikiano wa kiuchumi.
Nchi zinazotrajiwa kushirikiana katika mpango huo ni pamoja na Bahrain, Qatar, Iraq, Pakistan, umoja wa falme za kiarabu na India.
Forum