Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 22, 2025 Local time: 10:09

Hoja za kufunga mjadala kesi ya Donald Trump zinatarajiwa Jumanne


Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump

Jaji wa Mahakama Kuu ya New York, Juan Merchan kisha anatarajiwa kutoa maelekezo kwa jopo la majaji hapo Jumatano.

Hoja za kufunga mjadala zinatarajiwa Jumanne katika kesi ya uhalifu wa fedha huko New York ya Donald Trump, nafasi ya mwisho kwa mwanasheria wa zamani wa Rais wa zamani Marekani, kulishawishi baraza la mahakama lenye watu 12 kwamba hana hatia ya mashtaka ambayo alijaribu kinyume cha sheria kushawishi matokeo ya uchaguzi wa 2016, wakati mwendesha mashtaka anatoa ushahidi dhidi yake.

Hoja za mwisho katika kesi ya kwanza ya jinai dhidi ya Rais wa zamani wa Marekani zinaweza kuchukua saa kadhaa na kufuata ushahidi ambao ulidumu kwa wiki tano.

Jaji wa Mahakama Kuu ya New York, Juan Merchan kisha anatarajiwa kutoa maelekezo kwa jopo la majaji hapo Jumatano asubuhi kuhusu masuala ya kisheria yanayohusishwa na kesi hiyo kabla ya kuanza majadiliano.

Forum

XS
SM
MD
LG