Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 19:18

Helikopta ya Jeshi  la Nigeria yaanguka muda mfupi baada ya kuruka


Rais wa Nigeria Bola Ahmed Tinubu, akiwakagua walinzi wa heshima baada ya kula kiapo katika sherehe mjini Abuja, Nigeria, Mei 29, 2023.
Rais wa Nigeria Bola Ahmed Tinubu, akiwakagua walinzi wa heshima baada ya kula kiapo katika sherehe mjini Abuja, Nigeria, Mei 29, 2023.

Helikopta ya Jeshi  la Nigeria ilianguka muda mfupi baada ya kuruka  huko katika kitovu cha mafuta kusini mwa mji wa Port Harcourt siku ya Ijumaa lakini wafanyakazi wote watano walinusurika na kupata majeraha madogo tu, msemaji alisema.

Tukio hilo lilitokea muda mfupi baada ya helikopta ya MI-35P kuruka kwa ajili ya operesheni katika Jimbo lenye utajiri wa mafuta la Rivers, eneo ambalo limejaa wizi wa mafuta, msemaji wa Jeshi Edward Gabkwet alisema katika taarifa.

Wafanyakazi hao wanatibiwa katika kituo cha matibabu cha Jeshi huko Port Harcourt, alisema.

Forum

XS
SM
MD
LG