Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 03:11

FSB ya Russia yatoa sababu ya kumkamata mfanyakazi wa Marekani

Rais wa Russia Vladmir Putin akiwa katika mkutano Kremlin Moscow. AP.
Rais wa Russia Vladmir Putin akiwa katika mkutano Kremlin Moscow. AP.

Taarifa ya FSB ilisema kwamba Robert Shonov alikusanya taarifa kuanzia Septemba 2022, ikiwa ni pamoja na kampeni ya kuandikisha wanajeshi nchini Russia.

Taasisi ya usalama ya FSB ya Russia ilisema Jumatatu kuwa mfanyakazi wa zamani wa ubalozi mdogo wa Marekani nchini humo Vladi-vostok alishtakiwa kuhusiana na madai ya kukusanya habari kuhusu vita vya Ukraine na maandamano nchini Russia kwa niaba ya Marekani.

Taarifa ya FSB ilisema kwamba Robert Shonov alikusanya taarifa kuanzia Septemba 2022, ikiwa ni pamoja na kampeni ya kuandikisha wanajeshi nchini Russia.

Mwezi Mei, Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ililaani kukamatwa kwa Shonov ikisema kuwa tuhuma dhidi yake hazina mashiko.

Forum

XS
SM
MD
LG