Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 13:46

Ethiopia na Tunisia zapata ushindi katika Taekwando


Baadhi ya wachezaji wa Ethiopia na bendera ya nchi yao katika gwaride la Olimpik Japan 2020
Baadhi ya wachezaji wa Ethiopia na bendera ya nchi yao katika gwaride la Olimpik Japan 2020

Katika mchezo wa Taekwondo Seydou Fofana wa Mali alianza kampeni yake vibaya kwa kupoteza mchezo huo dhidi ya Rashitov Ulugbek wa Uzbekistan, pia alipoteza mechi yake ya pili dhidi ya Kor Lee Daehoon wa Jamhuri ya Korea.

Naye Solomon Demse wa Ethiopia alipata ushindi dhidi ya Sergio Suzuki wa Japani kwa upande wa wanaume uzito wa kilogram 58 mchezo huo wa Taekwondo kwa kutupa mateke 22 kwa 2.

Hii ilikuwa medali ya pili kwa Tunisia huko Tokyo baada ya Mohamed Khalil Jendoubi kushinda medali ya fedha katika Taekwondo ya wanaume ya kilo 58 kwa kutupa mateke 25 dhidi 18 kwa Artamonov Mikhail wa Russia.

XS
SM
MD
LG