Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 06:25

ECOWAS yalaani vikali kuzuka kwa mapigano Guinea-Bissau

Jean Claude Kassi Brou, rais wa Tume ya ECOWAS, akitoa taarifa ya mwisho ya mkutano wa ECOWAS kutoka kwa misheni ya hivi karibuni nchini Mali, Burkina Faso na Guinea kufuatia mapinduzi ya kijeshi katika nchi hizo, huko Accra, Ghana Machi 25, 2022. REUTERS.

Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS) imelaani vikali kuzuka kwa mapigano Ijumaa huko Guinea-Bissau, ambapo hali imerejea kuwa shwari siku ya Jumamosi.

Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS) imelaani vikali kuzuka kwa mapigano Ijumaa huko Guinea-Bissau, ambapo hali imerejea kuwa shwari siku ya Jumamosi.

Mapambano kati ya walinzi wa kitaifa na kikosi maalum cha walinzi wa rais yalizuka Alhamisi usiku katika mji mkuu Bissau, na kusababisha vifo vya watu wawili.

ECOWAS inalaani vikali ghasia na majaribio yote ya kuvuruga utaratibu wa kikatiba na utawala wa sheria nchini Guinea-Bissau, jumuiya hiyo yenye makao yake makuu mjini Abuja lilisema katika taarifa yake.

ECOWAS imetoa wito zaidi wa kukamatwa na kufunguliwa mashtaka kwa wahusika wa tukio hilo kwa mujibu wa sheria.

Forum

XS
SM
MD
LG