Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 16:29

CDC yatahadharisha ongezeko la maambukizi ya COVID-19 Kaunti kadhaa za Marekani


CDC yatahadharisha ongezeko la maambukizi ya COVID-19 Kaunti kadhaa za Marekani
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Kaunti kadhaa ambazo zinafikiria ziko katika hatari ya juu ya usambazaji wa COVID-19 zimeongezeka mara tatu katika muda wa wiki mbili zilizopita kwa mujibu wa CDC hapa Marekani.

.- Huko New York kiwango cha tahadhari cha COVID kimepandishwa na kuwa juu zaidi na kesi zimeongezeka mara dufu mwezi uliopita

- Rais wa Marekani Joe Biden amekutana na viongozi wa Sweden na Finland Alhamisi baada ya nchi hizo kuweka kando msimamo wao wa muda mrefu wa kutoegemea upande wowote na kutaka kujiunga na umoja wa NATO.

- Marekani yafungua ubalozi wake Kyiv, wafanyakazi washuhudia bendera ikipandishwa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG