Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 15, 2025 Local time: 12:13

Black Panther inakwenda Afrika Kabla ya kutolewa rasmi


Black Panther inakwenda Afrika Kabla ya kutolewa rasmi
please wait

No media source currently available

0:00 0:15:00 0:00

Wakanda Forever" filamu ya Marvel Studios itafanya uzinduzi wa filamu hiyo inayosubiriwa kwa hamu mji wa Lagos, Nigeria kabla ya kuoneshwa kwenye miji mingine duniani.

Kampuni ya Walt Disney, kwa kushirikiana na Africa International Film Festival (AFRIFF) na FilmOne Entertainment, ilitangaza kuwa onyesho la kwanza la uzinduzi litafanyika mapema mwezi Novemba katika kituo cha burudani cha Nigeria. Filamu hiyo, iliyoongozwa na Ryan Coogler na kutayarishwa na Kevin Feige na Nate Moore, itafunguliwa kwenye kumbi za sinema Novemba 11.

Katika habari zaidi za filamu, filamu ya hivi karibuni ya Dwayne 'The Rock' Johnson inatolewa katika kumbi za sinema na watu wameguswa kwa hali tofauti. Ingawa baadhi ya mashabiki walifurahia tukio na madoido yaliyomo, wengine walikuwa na matatizo na mpango na urefu wa filamu hiyo.

XS
SM
MD
LG