Baraza la Mawaziri la Gabon lilisema Jumatano jioni kwamba uchaguzi wa rais utafanyika Aprili 12, mwaka huu kuashiria mwisho wa utawala wa kijeshi ulioanza kwa mapinduzi Agosti 30, mwaka 2023.
A ministerial cabinet meeting minutes released overnight confirmed the scheduling of the presidential election.
Muhtasari wa mkutano wa baraza la mawaziri uliotolewa usiku ulithibitisha kupangwa kwa uchaguzi wa rais.
Rais wa mpito wa Gabon Brice Oligui Nguema alinyakua mamlaka katika mapinduzi, yakiwa ya 8 katika nchi za Afrika Magharibi na kati kati ya mwaka 2020 na 2023, ambayo ilimaliza utawala wa muda mrefu wa mtangulizi wake Ali Bongo na familia yake juu ya taifa hilo tajiri kwa mafuta lakini maskini.
Mwezi Novemba, Gabon ilipiga kura ya ndiyo katika kura ya maoni kuhusu katiba mpya, ikitoa ahadi ya viongozi wa mapinduzi ya kijeshi kuchukua hatua za kurejesha utawala wa kikatiba.
Forum