Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 09:55

#BALonVOA2021 : Matangazo mubashara ya Ligi ya BAL


Jiunge nasi na usikilize mubashara matangazo ya timu zinazo chuana katika Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika.

Jiunge nasi kupitia https://bit.ly/2RcwsEd au stesheni ya radio ya VOA katika eneo lako.

Ufunguzi wa Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) inayozileta pamoja timu za Kiafrika 12 mjini Kigali, mji mkuu wa Rwanda, ulikuwa Mei 16 na michuano litadumu hadi Mei 30, 2021.

XS
SM
MD
LG