Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 15:31

Siku ya Wanawake Duniani


March 8 kila mwaka ni maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wanawake duniani. Ni siku ambayo wanawake hufanya tathmini ya maendeleo yaliyopatikana katika sekta zote iwe siasa, uchumi, elimu, afya, jamii na kadhalika.

Katika makala hii maalum tunamulika miaka 15 baada ya mkutano mkubwa wa wanawake uliofanyika Beijing, China - tukiangalia mafanikio, matatizo na changamoto zinazowakabili wanawake. Je maazimio yaliyopitishwa Beijing yametekelezwa? Safari hii bado ni ndefu au nuru tayari imeanza kujitokeza huko mbele? Ni tofauti zipi zinajionyesha wazi, kwa upande wa wanawake, miaka 15 baada ya Beijing, hali ilikuwaje wakati huo na hivi leo wanaelekea wapi.

XS
SM
MD
LG