Print
Waziri Mkuu Raila Odinga ataka jamii ya kimataifa kusaidia raia wa Kusini mwa Sudan kuamua ikiwa wajitenge na taifa la Sudan na kuunda taifa lao huru.