wanaharakati waandamana kupinga wizi wa fedha za elimu
wanaharakati waandamana kupinga wizi wa fedha za elimu
Wanaharakati wa kutetea haki za kiraia Kenya waandamana kupinga wizi wa fedha za msaada wa elimu inayotolewa bila malipo katika shule za msingi nchini humo.