Print
Siku ya ukimwi yaadhimishwa kote duniani leo.Wapatanishi wa mzozo wa uchaguzi wa Kenya, Koffi Annan na Graca Machel watafanya mazungumzo na rais Mwai Kibaki na Waziri Mkuu Odinga kesho.