marais wa Afrika mashariki watia saini soko la pamoja
marais wa Afrika mashariki watia saini soko la pamoja
Marais wa nchi 5 za jumuiya ya Afrika Mashariki watia saini itifaki ya soko la pamoja mjini Arusha.Hali ya wasiwasi yatanda Kaskazini Mashariki mwa Kenya baada ya watu 12 kuuawa kikatili.