Print
Polisi waweka ulinzi mkali mjini Nairobi kufuatia kuuawa kwa msemaji wa kundi la Mungiki Gitau Njuguna Gitau,huku aliyekuwa kiongozi wao zamani Maina Njenga akisema anahofia maisha yake.