Print
Shirika moja la kimataifa lasema Kenya ni kati ya mataifa 30 yanayokabiliwa na njaa. Kenya imemkaribisha mwendesha mashtaka wa mahakama ya kimataifa kujadili watuhumiwa wa ghasia za uchaguzi.