Print
Majeshi ya Serikali ya Somalia yameukamata mji wa Luuq kutoka kwa waasi wa kiislamu kaskazini magharibi mwa Mogadishu. Bei za chai zimepanda nchini Kenya,huku uzalishaji ukiwa umepungua.