Print
Bunge la Kenya limefunguliwa tena leo alasiri baada ya likizo ya mwezi na linatarajiwa kujadili mswaada wa kubuniwa kwa mahakama maalum kwa washukiwa wa ghasia za uchaguzi mkuu uliopita.