Print
Wafanyakazi tisa wafariki kwenye ajali ya mgodi Afrika Kusini. Kundi moja la msaada Darfur lasema mmoja wa wafanyakazi wake amepigwa risasi na kujeruhiwa wakati wa jaribio la wizi.