Print
Kiongozi wa upinzani nchini Iran, Mir Hossein Mousavi aunga mkono maandamano zaidi. Na wabunge wa Marekani wajadili hali ya kisiasa ilivyo nchini humo.