Print
Mtanzania Ahmed Ghailani anayetuhumiwa kwa ugaidi kutokea mahakama ya kiraia New York leo. Atuhumiwa katika ulipuaji mabomu Tanzania na Kenya 1998.