Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 03, 2024 Local time: 20:22

Saratani ya matiti na juhudi zinazofanywa kwa jamii katika utambuzi wa mapema


Saratani ya matiti na juhudi zinazofanywa kwa jamii katika utambuzi wa mapema
please wait

No media source currently available

0:00 0:15:00 0:00

Oktoba ni mwezi unaohamasisha ulimwengu kuhusu uelewa wa saratani ya matiti. Saratani ya matiti inatokea wakati seli za matiti zisizo za kawaida zinapojitokeza kwenye titi na kusababisha uvimbe.

Kama uvimbe huu unaachwa bila kutibiwa, basi unaweza kuenea au kusambaa katika mwili na kusababisha kifo.

Forum

XS
SM
MD
LG