Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 21:50

,Maoni mseto baada ya ECOWAS kuiondolea vikwazo serikali ya kijeshi ya Niger


,Maoni mseto baada ya ECOWAS kuiondolea vikwazo serikali ya kijeshi ya Niger
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Jumuiya ya kiuchumi ya Ukanda wa Afrika Magharibi, ECOWAS, Jumamosi iliondoa baadhi ya vikwazo ilivyokuwa imeiwekea Nige,r baada ya mapinduzi ya kijeshi ya mwaka jana, yaliyomuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum.

XS
SM
MD
LG