Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Desemba 21, 2024 Local time: 22:00

Mchambuzi Amin Mwidau aangazia makabiliano kati ya Hamas na Israeli


Israel Palestinians Photo Gallery
Israel Palestinians Photo Gallery

Maoni mseto yameendelea kutolewa, baada ya kundi la wanamgambo wa kipalestina la Hamas kuingia ndani ya Israeli kufanya mashambulizi siku ya Jumamosi, na kusababisha serikali ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, kutangaza hali ya vita dhidi ya wanamgambo hao.

Jumuiya ya kimataifa imegawanyika kuhusu ni nani wa kulaumiwa katika mzozo ambao, umedumu kwa miongo kadhaa, na ambao ulichukua mkondo mpya mwishoni mwa wiki, baada ya vita kuzuka, ambavyo vimesabisha vifo vya mamia ya watu, uharibifu wa mali na kutekwa kwa raia pamoja na wanajeshi. BMJ Muriithi anaarifu zaidi.

Vita kati ya Israeli na Hamas vyaingia siku ya pili.mp3
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:30 0:00
MAHOJIANO: Mchambuzi Amin Mwidau aangazia vita vilivyozuka kati ya Israeli na Hamas.mp3
please wait

No media source currently available

0:00 0:07:15 0:00

Forum

XS
SM
MD
LG