Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter ambaye ana umri wa maiak 98 ameanza matibabu ya nyumbani ambako anatunzwa na familia yake pamoja na wahudumu wa afya. Carter aligunduliwa kuwa na saratani mnamo mwaka wa 2015.