Zaidi ya wanajeshi 3,000 wapya walianza mafunzo Jumatatu nchini DRC huku jeshi la nchi hiyo likiimarisha mapambano yake dhidi ya waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na nchi jirani ya Rwanda.