Wanasema kwamba uamuzi kuwa tume huru ya uchaguzi na mipaka ya IEBC ilifanya kazi yake vilivyo wakati wa kutangaza William Ruto kuwa rais, ni mfano mwema kwa mataifa mengine ya Afrika.