Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken aliwasili Afrika Kusini Jumapili, kituo cha kwanza cha ziara yake ya mataifa matatu ya Afrika. Mbali na Afrika Kusini, Blinken pia ataitembelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda.