Jaji Mkuu wa Kenya Martha Koome alisema majaji hao walichaguliwa kwa uangalifu kufuatia mahojiano yaliyofanywa Juni mwaka huu na kumwomba rais awateue kujaza nafasi zilizoachwa wazi katika mahakama ya rufaa ambapo awali Rais Kenyatta alikataa kutokana na masuala ya uadilifu