Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 07:14

Makamu rais wa Burundi Gaston Sindimwo azungumzia uchaguzi mkuu


Makamu rais wa Burundi Gaston Sindimwo azungumzia uchaguzi mkuu
please wait

No media source currently available

0:00 0:06:24 0:00

Makamu wa kwanza wa rais wa Burundi Gaston Sindimo anasema uchaguzi unafanyika kwa amani na usalama lakini kuna kasoro nyingi juu ya utaratibu wa upigaji kura. Anasema ni vigumu kuamua ikiwa matokeo yatakua halali bila ya wawakilishi wa vyama kuwepo katika kuhesabu kura.

Sindimwo anĂ¡tema wameiomba time ya uchaguzi kuruhusu wajumbe wao kuingia katika vituo vya kupiga kura ili kushuhudia angalau kura kuhesabiwa baada ya kukataa kuwaruhusu kushuhudia upigaji kura.
XS
SM
MD
LG