Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 09:58

Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Kenya 2020


Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Kenya 2020
please wait

No media source currently available

0:00 0:07:12 0:00

Nchini Kenya, baadhi ya mashirika ya habari yamewalazimisha wanahabari kuchukua makato ya mishahara.

Wakati dunia inapoadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari, upo katika mtazamo mpya hasa katika mazingira ya kukabili maambukizi ya virusi vya Corona.

Nchini Kenya, baadhi ya mashirika ya habari yamewalazimisha wanahabari kuchukua makato ya mishahara, wengine wakifutwa kazi huku wanahabari wengine wakieleza kutoridhikia mazingira wanamofanyia kazi hususan kutokana na manyanyaso kutoka kwa asasi za usalama na umma kwa ujumla.

XS
SM
MD
LG