Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 20:09

Comoros yatangaza kuwepo na mtu aliyeambukizwa na virusi vya Corona


Comoros yatangaza kuwepo na mtu aliyeambukizwa na virusi vya Corona
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:39 0:00

Hatimae rais Azali Assoumani ametangaza Alhamisi asubuhi kwamba kuna mtu mmoja mwenye umri wa miaka 50 anaeaminika aliambukizwa na mkomoro mmoja aliyetokea ufaransa hapo march 18, na kulazwa hospotali April 23.

Kutokana na hayo Rais Azali amesema anatangaza hatua za kupiga marufuku mkusanyiko wa zaidi ya watu 20 kufungwa shule na misikiti na amri ya kutotoka nje usiku.
Lakini wachambuzi na wananchi wengi wanasema serikali inaficha ukweli wa mambo kwani kuna watu wngi zaidi walaombukizwa na kuna watu wameshakufa na ugonjwa huo.
XS
SM
MD
LG