Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 17:57

Mapinduzi Sudan : Bado waandamanaji hawajaridhika, wanataka serikali ya kiraia

please wait

No media source currently available

0:00 0:08:01 0:00

Waandamanaji wanapinga mapinduzi ya kijeshi yaliyomwondoa madarakani Omar Al-Bashir, wakisema baraza maalum la kusimamia kipindi cha mpito sio tofauti na utawala wa Bashir.

Na ili kutaka kujua zaidi kuhusu mapinduzi ya Sudan, Mwenzangu Kennes Bwire amezungumza na Prof Fullbert Namwamba, mchambuzi wa siasa, na kuanza kwa kumuuliza iwapo matukio nchini Sudan ndiyo mabadiliko waliotaka raia wa nchi hiyo.

XS
SM
MD
LG